Search

110 results for Shaban Njia :

  1. Bwawa la Mindu latapika, kaya 126 zaathirika

    Kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha mkoani hapa, imesababisha Bwawa la Mindu ambalo ndiyo chanzo kikuu cha maji katika Manispaa ya Morogoro na maeneo jirani kufurika na maji kusambaa kwenye...

  2. Sukari bado kivumbi, watu wanunua kwa foleni

    Kupitia taarifa yake hiyo, Waziri Bashe alisema uzalishaji wa sukari nchini umeshuka kuanzia Novemba 2023 kutokana na mvua nyingi zilizonyesha na kusababisha kushindwa kuvunwa miwa na viwanda...

  3. Sugu alivyowakutanisha mabalozi watano usiku wa Bongo Fleva Honors

    Mabalozi waliohudhuria tamasha hilo ni Michael Beatle kutoka Marekani), Christine Grau (Umoja wa Ulaya EU)), Nabil Hajalaoui (Ufaransa), Peter Huyghebaert (Ubelgiji) na Jorge Moragas wa Hispania.

  4. Mvua  ilivyoacha maumivu mmoja adaiwa kufa Dar

    Miongoni mwa athari iliyosababishwa na mafuriko ni kusombwa kwa mali, uharibifu ikiwemo wa magari ambayo mengine yalisombwa na maji, makazi kujaa maji na kuezuliwa mapaa, miundombinu kuharibiwa...

  5. PRIME Utata matibabu bure wajawazito

    makundi maalumu, sera inaeleza Serikali inatambua kuwepo kwa wananchi wasio na uwezo wa kuchangia gharama za huduma za afya, ikiwa ni pamoja na wale walio katika makundi maalumu ya kijamii.

  6. Tanzania yapokea msaada wa Sh26 bilioni

    Mashirika matano yasiyokuwa ya kiserikali yamepewa msaada wa zaidi ya Sh26 bilioni kwa ajili ya utekelezaji miradi yao ikiwemo uendelezaji misitu na njia Jumuishi ya Mabadiliko ya Mnyororo...

  7. Wamiliki daladala wapendekeza nauli iongezeke

    Wakati wamiliki wa mabasi ya mkoani wakipendekeza nauli ya usafiri huo kuongezeka kwa Sh10,000, wale wa daladala wametaka ipande kutoka Sh500 kuwa Sh800 na mwanafunzi iwe Sh300.

  8. Wajitosa kufanya utafiti wa mikopo ya halmashauri

    Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kinafanya utafiti ili kuja na mapendekezo ya namna bora mikopo ya asilimia 10 itakavyokuwa na matokeo chanya juu ya...

  9. PRIME Furaha, hofu kwa mama wa pacha waliotenganishwa

    Mama wa watoto pacha, Hassan na Hussein wa miaka miwili, Hadija Shaban, amesimulia namna alivyoishi na furaha iliyochanganyika na woga kwa zaidi ya saa 16 wakati watoto wake wakitenganishwa...

  10. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Wallace Karia sio shabiki wa Simba tena?

    Waliobaki wote ni ama atakuwa Simba au Yanga. Ndiyo utamaduni wa mpira wetu ulivyo. Misimu miwili kurudi nyuma Rais wa TFF, Wallace Karia ametukanwa sana na baadhi ya mashabiki na wapenzi wa...

Page 1 of 11

Next